Pinda akiwa Rais, mtamuona Kikwete ni bora zaidi

Pinda ni mtu wa ovyo sana,japo wanasema ni mtu mpole,mcha Mungu nk lakini mimi sijaona hata chembe ya sifa ya kumfanya kuwa rais wa JMT. Hatuwezi kuongozwa na rais kama Pinda.

Pinda anajisifia kuwa maskini,kwani kuwa maskini ni SIFA? Huoni kwamba umaskini wa watz yeye anaona ni sifa. Hana vision wala mission. Badala ya kupambana ili kupunguza umaskini yeye anaona UMASKINI ndio SIFA ya kuombea kura.
Kwa sera hizi,Tanzania haiwezi kusonga mbele kimaendeleo hata siku moja.

Kwa kauli kama hizi,naamini hata Kikwete akienda nje ya nchi kuomba misaada hutjisfia umaskini wa tanzania na watz kujipatia mapesa ya mikopo,ambayo yamekuwa yakiletwa hapa na kuishia mikononi mwa mafisadi.

Pinda akiwa rais wa nchi kuna uwezekano mkubwa sana wa deni la taifa kukua maradufu,hili lipo wazi,Pinda ni dhaifu kuliko hata kikwete,maamuzi hana,msimamo hana,akiona mambo yamemuelemea huropoka ovyo ovyo bila kufikiri, Pinda hatufai hata kidogo.

Unaangaika bure mpaka povu linakutika umeshakula posho ya Edward Lowassabasi tabu tupu kila unayemuona mbele yako unasema uongo na kutukana mara leo umemtusi Pinda mara kesho Wasira mara siku nyingine umemtusi Membe mara siku nyingine umemtusi Mwigulu yani kila siku wewe kazi yako kuzusha uongo zidi ya wengine.Acha hizo mkuu si vyema kuendekeza upuuzi huo kwa manufaa yako na mafisadi ila kaeni mkijua ni ngumu wala si rahisi kama mnavyodhani kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu si pango la wanyang'anyi,wezi na mafisadi hivyo hamtafanikiwa kamwe.
 
Tafuta uzi wenye title hii" kwa lipi Lowassa apewe nchi" ndipo utajua ninamzngumziaje Lowassa
Unaangaika bure mpaka povu linakutika umeshakula posho ya Edward Lowassabasi tabu tupu kila unayemuona mbele yako unasema uongo na kutukana mara leo umemtusi Pinda mara kesho Wasira mara siku nyingine umemtusi Membe mara siku nyingine umemtusi Mwigulu yani kila siku wewe kazi yako kuzusha uongo zidi ya wengine.Acha hizo mkuu si vyema kuendekeza upuuzi huo kwa manufaa yako na mafisadi ila kaeni mkijua ni ngumu wala si rahisi kama mnavyodhani kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu si pango la wanyang'anyi,wezi na mafisadi hivyo hamtafanikiwa kamwe.
 
Hatushangahi mti wenye matunda mazuri kupigwa mawe .Pinda ni kiongozi makini na bora ndiyo maana ameweza kufanya kazi na viongozi wa serikali za awamu zote kuanzia Mwl.Mwalimu Nyerere,Ali Hassan Mwinyi,Benjamin Mkapa na baadae J Kikwete kama Waziri Mkuu.Amefanikiwa kufanya kazi na viongozi wote hao kwa sababu ya uwajibikaji wake mzuri,uaminifu na uadilifu wake,hekima na busara katika maamuzi na utendaji wake usiyo na shaka,ni mtu wa watu,Mchukia rushwa na ufisadi,ni mtu makini na huwa anafanya maamuzi blia kumuonea mtu kwa maendeleo ya Taifa hizo ni baadhi ya sababu zilizofanya Mizengo Pinda afanikiwe kufanya kazi kwa ukaribu na viongozi wa serikali za awamu zote nne.Mizengo Pinda ni jembe na anastahili kuwa rais wa JMT.
 
Pinda ni mtu wa ovyo sana,japo wanasema ni mtu mpole,mcha Mungu nk lakini mimi sijaona hata chembe ya sifa ya kumfanya kuwa rais wa JMT. Hatuwezi kuongozwa na rais kama Pinda.

Pinda anajisifia kuwa maskini,kwani kuwa maskini ni SIFA? Huoni kwamba umaskini wa watz yeye anaona ni sifa. Hana vision wala mission. Badala ya kupambana ili kupunguza umaskini yeye anaona UMASKINI ndio SIFA ya kuombea kura.
Kwa sera hizi,Tanzania haiwezi kusonga mbele kimaendeleo hata siku moja.

Kwa kauli kama hizi,naamini hata Kikwete akienda nje ya nchi kuomba misaada hutjisfia umaskini wa tanzania na watz kujipatia mapesa ya mikopo,ambayo yamekuwa yakiletwa hapa na kuishia mikononi mwa mafisadi.

Pinda akiwa rais wa nchi kuna uwezekano mkubwa sana wa deni la taifa kukua maradufu,hili lipo wazi,Pinda ni dhaifu kuliko hata kikwete,maamuzi hana,msimamo hana,akiona mambo yamemuelemea huropoka ovyo ovyo bila kufikiri, Pinda hatufai hata kidogo.

Ni mzigo tu
 
Hatushangahi mti wenye matunda mazuri kupigwa mawe .Pinda ni kiongozi makini na bora ndiyo maana ameweza kufanya kazi na viongozi wa serikali za awamu zote kuanzia Mwl.Mwalimu Nyerere,Ali Hassan Mwinyi,Benjamin Mkapa na baadae J Kikwete kama Waziri Mkuu.Amefanikiwa kufanya kazi na viongozi wote hao kwa sababu ya uwajibikaji wake mzuri,uaminifu na uadilifu wake,hekima na busara katika maamuzi na utendaji wake usiyo na shaka,ni mtu wa watu,Mchukia rushwa na ufisadi,ni mtu makini na huwa anafanya maamuzi blia kumuonea mtu kwa maendeleo ya Taifa hizo ni baadhi ya sababu zilizofanya Mizengo Pinda afanikiwe kufanya kazi kwa ukaribu na viongozi wa serikali za awamu zote nne.Mizengo Pinda ni jembe na anastahili kuwa rais wa JMT.

Pinda hawezi lolote,akiwa rais wa JMT,Kikwete ataonekana bora kuliko pinda. Pinda hafai hata chembe,hawezi kufanya maamuzi. Uwaziri mkuu umemshinda,atawezaje urais? Si hata mawaziri wakimkomalia kama Muhongo si ataanza kuropoka na kulia?
 
Amakweli kikwete amefanya taasisi hi ya uraisi ionekane ni kazi rahisi, hivi kweli bado kunawana ccm wanafikiria kumpigia chapuo huyu bwana anaeitwa mizengo pinda awe raisi wa tanzania?
 
Hatushangahi mti wenye matunda mazuri kupigwa mawe .Pinda ni kiongozi makini na bora ndiyo maana ameweza kufanya kazi na viongozi wa serikali za awamu zote kuanzia Mwl.Mwalimu Nyerere,Ali Hassan Mwinyi,Benjamin Mkapa na baadae J Kikwete kama Waziri Mkuu.Amefanikiwa kufanya kazi na viongozi wote hao kwa sababu ya uwajibikaji wake mzuri,uaminifu na uadilifu wake,hekima na busara katika maamuzi na utendaji wake usiyo na shaka,ni mtu wa watu,Mchukia rushwa na ufisadi,ni mtu makini na huwa anafanya maamuzi blia kumuonea mtu kwa maendeleo ya Taifa hizo ni baadhi ya sababu zilizofanya Mizengo Pinda afanikiwe kufanya kazi kwa ukaribu na viongozi wa serikali za awamu zote nne.Mizengo Pinda ni jembe na anastahili kuwa rais wa JMT.

Hana jipya huyu kumbuka kauli zake WAPIGWE TUUU, MARA ANALIA BAADA YA KUONA ALBINO WANAUAWA!! !! kiongozi huamini kulialia badala yake onesha njia dhidi ya uovu. Mzee wa kuzindua mizinga 3.Huyu hatufai ni JANGA LA TAIFA.
 
Kwa sura yake ile alitakuwa kuwa mtu mwenye misimamo nk. Sura yake haitendei haki kabisa.

Mkuu Pinda alijaribu kuitendea haki sura yake pale aliposema ''aaah tumechoka wapigwe tu'' na mjengoni aliposema wanaua alibino nao wauliwe tu.
 
Pinda hana uwezo wa kutafakari akibanwa ndio maana matokeo yake ni kuropoka tu kauli zinazogharimu maisha ya watz kinyume na katiba. Piga tu,liwalo na liwe moja ya kauli zake uliona na unaona madhara yake.
Mkuu Pinda alijaribu kuitendea haki sura yake pale aliposema ''aaah tumechoka wapigwe tu'' na mjengoni aliposema wanaua alibino nao wauliwe tu.
 
Pinda hafai hata kidogo. Huyu hata mimi simpi kura yangu kabisaaa. Pia kuna wakati alishawahi kusema "mafisadi wakiguswa nchi itatikisika". Sasa mtu kama huyu apewe nchi, no way!
 
Back
Top Bottom