pakamweupe
Senior Member
- Nov 6, 2014
- 136
- 23
Pinda ni mtu wa ovyo sana,japo wanasema ni mtu mpole,mcha Mungu nk lakini mimi sijaona hata chembe ya sifa ya kumfanya kuwa rais wa JMT. Hatuwezi kuongozwa na rais kama Pinda.
Pinda anajisifia kuwa maskini,kwani kuwa maskini ni SIFA? Huoni kwamba umaskini wa watz yeye anaona ni sifa. Hana vision wala mission. Badala ya kupambana ili kupunguza umaskini yeye anaona UMASKINI ndio SIFA ya kuombea kura.
Kwa sera hizi,Tanzania haiwezi kusonga mbele kimaendeleo hata siku moja.
Kwa kauli kama hizi,naamini hata Kikwete akienda nje ya nchi kuomba misaada hutjisfia umaskini wa tanzania na watz kujipatia mapesa ya mikopo,ambayo yamekuwa yakiletwa hapa na kuishia mikononi mwa mafisadi.
Pinda akiwa rais wa nchi kuna uwezekano mkubwa sana wa deni la taifa kukua maradufu,hili lipo wazi,Pinda ni dhaifu kuliko hata kikwete,maamuzi hana,msimamo hana,akiona mambo yamemuelemea huropoka ovyo ovyo bila kufikiri, Pinda hatufai hata kidogo.
Unaangaika bure mpaka povu linakutika umeshakula posho ya Edward Lowassabasi tabu tupu kila unayemuona mbele yako unasema uongo na kutukana mara leo umemtusi Pinda mara kesho Wasira mara siku nyingine umemtusi Membe mara siku nyingine umemtusi Mwigulu yani kila siku wewe kazi yako kuzusha uongo zidi ya wengine.Acha hizo mkuu si vyema kuendekeza upuuzi huo kwa manufaa yako na mafisadi ila kaeni mkijua ni ngumu wala si rahisi kama mnavyodhani kumbukeni ikulu ni mahala patakatifu si pango la wanyang'anyi,wezi na mafisadi hivyo hamtafanikiwa kamwe.