Acha kuongea upuuzi, unaweza thibitisha unachokisema
Wao walidhani APril 30 ingekuwa 2017Katika kuthibitisha ubabaishaji wa serikali hii, leo hii waziri mkuu Pinda ameingia mitini kukwepa maswali ya papo kwa papo kama ilivyo ada siku za Alhamisi. Pinda na serikali yake wamekuwa wakilitolea majibu ya kisiasa kwa upande mmoja huku tume ikitoa majibu tofauti.
Hivi karibuni akihojiwa na kituo cha EATV mwenyekiti wa tume Jaji Lubuva alisema watanzania wasome sheria wajue nani anayepaswa kutangaza tarehe ya kura ya maoni na waache kusikiliza kila mtu. Siku za karibuni Kikwete, Pinda na Dr Migiro wanenukuliwa wakisema kura ya maoni iko pale pale April 30.
Sasa akiwa mkazi wa Lithuli si ndo atakua anajificha kabatini pindi akitakiwa kutoa maelezo ya nchi,Samahani najua wewe kada mzuri tuu kama mgombea wako hajaanza mchakato usiniletee Jazba zako kwangu.
Pinda leo kasepa makinda mwenyewe juzi alishindwa kujibu mnyika akamwambia sio mahali pake.
Sihitaji kudhibitisha wakati kila siku tunaashuhudia.
Acha kuongea upuuzi, unaweza thibitisha unachokisema
Katika kuthibitisha ubabaishaji wa serikali hii, leo hii waziri mkuu Pinda ameingia mitini kukwepa maswali ya papo kwa papo kama ilivyo ada siku za Alhamisi. Pinda na serikali yake wamekuwa wakilitolea majibu ya kisiasa kwa upande mmoja huku tume ikitoa majibu tofauti.