Pinda adanganya tena bungeni

Chadema ndio wanasababisha yote haya, hadi serikali inashindwa kupumua!
 
Khaa!!Huyu baba nae ana viwanda kama mwenyekiti wake...
 
Thred kama hii zinafanya tuone umuhimu wa kuanzishwa kwa jukwaa la umbea
 
Sasa kwani hajafariki?

Kama kakosea siku iwe jana au juzi kuna tofauti gani? kifo ni kifo tu, ingekuwa hajafa hapo ningekuelewa. Nyie mlipopeleka bajeti yenu bungeni mliipeleka na mapato "zero" mkaja na sababu ipi?

Hizo ndio akili za chadema. Halafu mijitu humu itaunga mkono kama misukule.

Huwa hamna ya maana?
 
kwikwikwiii bongoland hii
 
Labda hotuba ilirekodiwa
 

Sasa sisi inatuhusu nini kafa jana au leo watu wengine munakosaga vitu vya kuandika mtu akifa akazikwe huu mfumo kristo sijui utakwisha lini eti bunge linatangaziwa askofu fulani kafariki "IGNORANT PEOPLE"
...Quu!!!
 

ukizoea kuchakachua tabu sana
 
Sasa sisi inatuhusu nini kafa jana au leo watu wengine munakosaga vitu vya kuandika mtu akifa akazikwe huu mfumo kristo sijui utakwisha lini eti bunge linatangaziwa askofu fulani kafariki "IGNORANT PEOPLE"
Si bure ulikuwa unatafuna kongoro la mbuzi katoliki wakati unaandika post hiyo:becky:Tamu mno!
 
Mimi nimemsikiliza pinda mwanzo mwisho hajasema leo ila amesema taarifa zilizomfikia leo alfajiri ni kwamba padre amefariki, sasa wewe kama ulikuwa na mawazo ya posho ndogo unayopata huwezi kukumbuka vizuri kila kitu
 
Mbona mlisema mmesusa kuangalia tbc, au umesimuliwa ndio mana umeleta uzi wa kimbea hapa
 
Niko mbali maeneo fulani huku , naomba kujua imekuwaje kifo cha Askofu kina tangazwa na Waziri mkuu Bungeni tafadhali .Ni protocol ama ?
 
Kuna midude mingine humu duh! Nahisi kugonoka kuna athiri!
 
Ninachofahamu mimi ni kuwa huko CCM hakuna mkweli hata mmoja.
 
WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZIA MAMBO YA KIFO CHA ASKOFU BUNGENI? Hii inauhusiano gani na bunge jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…