Pinda:Aanzisha Chuo cha Ufundi na udereva kigamboni:M.V.T.C

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,641
Wana jamvi,
Tumpongeze mtoto wa mkulima kwa kuwasaidia wananchi wa Kigamboni kwa kuwaanzishia MKULIMA VOCATIONAL TRAINING CENTRE ambacho kinatoa vyeti ya driving na ufundi mechanic,Hongera mtoto wa mkulima umethubut,umeweza na unasonga mbele
 
Kajitahidi mwambieni afanye hivyo na kule kwetu swanga kwani bado tuko nyuma sana kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom