Pimp your car

osnyo

Member
Nov 19, 2012
45
95
Wataalamu wa urembaji wa magari,ikiwa ni pamoja na kufunga radio{music system uipendayo}ufungaji wa alarm,orijino seat cover,sports rim na mengine mengi.tunapatikana lumumba jijini dar es salaam
piga simu namba 0682 255 948
 

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
3,960
2,000
nyinyi ndo mlipimp ile gari ya mtoto wa barhesa kilokoloko halafu mkapompo kuwa imetoka majuu?
 

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,200
1,250
I need a flat screen kwenye buti ya nyuma plus ps2 ma mini bar...ni pm the expenses
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom