hakuna mtu
Duh!! Mtu yupo upande wa pili wa picha ameshika camera amepiga hii picha
Superman
Spiderman
Ningekua wa kwanza kutoa maoni ningechemka pengine ulivyosema pima macho asee yangu yangekua kilo buku,
Wee kweli MGANGA WA KIENYEJI kumbe kuna JINN au kuna NDEGE kiongozi,teh teh.
![]()
haya Bwana umetuchemsha vya kutosha