Ni nakshi ya chakula, haiwezi kuwa mboga kwa vile huwezi kuimajor wala kuiminor kwenye mlo, hakuna ugali kwa pilipili, au wali nyama na pilipili. Limau na chumvi ya mezani vinaingia kundi hili la nakshi za chakula.
Kuhusu kitoweo inaonekana hufahamu fasiri yake, tafuta hiyo, ukishajua wala hutauliza tena.