Pilipili

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Hivi huwa ni mboga au kitoweo?
Maana kuna watu hawawezi kula chakula bila pilipili!
Nawasilisha.
 
Hivi huwa ni mboga au kitoweo?
Maana kuna watu hawawezi kula chakula bila pilipili!
Nawasilisha.

Ni nakshi ya chakula, haiwezi kuwa mboga kwa vile huwezi kuimajor wala kuiminor kwenye mlo, hakuna ugali kwa pilipili, au wali nyama na pilipili. Limau na chumvi ya mezani vinaingia kundi hili la nakshi za chakula.
Kuhusu kitoweo inaonekana hufahamu fasiri yake, tafuta hiyo, ukishajua wala hutauliza tena.
 
pilipili ni mboga, na kiungo...
Anyway...
Nini tofauti ya mboga na kitoweo?

pilipili ni kiungo "nakshi" tu ili kuongeza hamu ya chakula ni kama ilivyo mbilimbi, mdalasini, hiliki n.k

nadhani kitoweo ni chakula chenye asili ya nyama km samaki, mbuzi, ng'ombe nk
mboga ni chakula chenye asili ya majani au mbegu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom