Pilipili ya Akabanga yatinga US & Europe

Ataeipenda akabanga achunguzwe akili ake,pilipili gani ukiweka inafunika ladha nzima ya chakula na kumuachia mlaji mateso mdomoni,inauwezo wa kufunika ladha ya pilau,biliani,mtori,kongoro,mchunga wenyewe husikii ladha yake ukiweka akabanga
Kuna Pilipili tamu? Au ulidhani peremende
 

Attachments

  • Screenshot_2020-06-06-20-06-54-66.png
    Screenshot_2020-06-06-20-06-54-66.png
    115.3 KB · Views: 4
"Mmachinga" toka Rwanda anaetengeneza pilipili maarufu "Akabanga" amefanikiwa kuipenyeza bidhaa yake kwenye masoko huko Marekani & Ulaya. Hapa Bongo tuna SIDO, VETA, TIRDO, Halmashauri kila kona na maafisa biashara na ushirika walionenepeana tu. Tunakwama wapi?
#Don't Hate, Be Inspired#
akabanga – From a Little secret to Great flavor
Sio issue sana hata ubuyu wa zenji na senene za bukoba vinapatikana ulaya na marekani
 
Back
Top Bottom