Kwa hapo bold usipojenga hekalu ukajitupe baharini........
jaribuni kuishi kwa afya........... meaning kila ufanyacho hakikisha kina afya kwako Natamani sana kumpata mtu mvivu wa haya mambo manake kwangu akitia kajipombe kadogo tuu nataman kuahama kitandahahaaaa mkuu rainy najaribu kuondoa ongezeko la utasa huwa zikifika tunaziombea kwanza so mtu akila kila mmoja analetaa heshima mkuu ......nimeona niwakomboe wana jf kwenye kujinafasi
Anafidia nauli yake ya kwenda na kurud huko RwandaHiyo bei mbona umei double ndugu?hiyo chupa ndogo ni 2500 na kubwa 5000,au ndio transport cost?