Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

Mimi najitolea muhanga kujaribu . Matokeo ntawaletea baada ya wiki. Ikitiki nafungua ofisi . Hizi kazi za watu zinachosha mno.
 
Sasa wewe utawaua wenzako...pilipili,limao + chumvi?..daah!sasa mwenye mzula asiyejua jando ukamwekea umo ndan mwa "mfuko wa mashine" patakalika?
 
Watakaotumia hiyo "dawa" kesho warudi hapa watoe mshindo nyuma (feedback)
 
Kwahiyo Wahindi wanamzigo wa kutosha kabisa maana wanakula pilipili tangu wana miaka 2 mpaka uzeeni
 
pilipili ni dawa hata kwetu wenye magovinda? je tulipekenyue govinda ndio tupake pilipili? maumivu yake ntajificha wapi mi mtoto wa kijaluo?
Tena wenye mikono ya sweta hii haicheleweshi, ni siku 3 tu, baada ya siku 7
 
Jamani watu wa ajabu kweli, yani anatumia siku moja tu, kisha anani PM eti mbona haijakua? Nimesema inatakiwa utumie siku saba ( 7 ) mfululizo
 
yani hii ni sawa uchanganye bomu, mafuta ya petroli kisha uweke na barudi halafu ulipue ukitafuta uimara wa nyumba yako
 
Kazi kwelikweli....wataka wenzako waumize dushelele zao bure,waachie wenye vibamia vyao!
 
mmh,we pilipili uchanganye na chumvi na limao halafu upake kwenye kichwa cha uume hujitaki?,huo ufukuto wake utaweza kuvumilia kweli,si usiku mzima utakuwa unaomboleza uchungu?????,elezea vizuri bro
 
Najua wapo watakao ni dharau na kunibeza nawegine watazani labda naleta maskhara, atc. Lakini ukweli mimi nimtu mzima naakilizangu najua lipi zuli nalipi baya, upi wakat wa utani na upi wakati wa sirias. Tibahii nilipewa miaka kama 10 hivi iliyo pita ( manica, Mozambiqui ) kabla ya hapo nili kua ni miungoni mwa wanaume wenye Dushelele ndogo sana. Nilipata wakati mgumu nilipo kutana na mizigo ( wanawake wenye maumbo makubwa ) ilifika wakati nilishindwa kubaki na boxa/chupi sehem za ufukwe kwakujihisi haibu. Sikumoja nili muhadithia meu amigo ( rafiki ) kuusu hali yangu, akanielekeza kwa corandero ( mganga ) ndipo nilipo patwa na mshangao baada ya kupewa dawa ya kukuza Dushelele. Alinielekeze nitafute pilipili chunvi na limao kisha niitwangwe ile pilipili pamoja na chunvi baada ya kupata mchanganyiko huo nikamulie ile limao kisha niki pake kicha cha uume mara niendapo kulala. Nilitumia dawa hiyo kwamuda wa siku7 tu maajabu niliyo kutana nayo yalini staabisha, kitu kikawa kinajaa ndani ya chupi, kiki simama nchi kama 9 hivi, sinatena wasiwasi na mashankupe wa mjini. Kiufupi nasema pilipili imeni ponya. Kwahiyo kwakujua kuwa tatizo hili lina wasumbua wanaume wenzangu wengi nikaona siimbaya kuitoa fikra hii kwa atakae taka

e bana eee, du!!!, natamani nione aliyeiweka, maana sijui itakuwaje, PILIPILI, LIMAO, CHUMVI kwenye kichwa cha m b o, acheni utani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyu hana tofauti na dokta yule wa buguruni karibu na amana anaitwa nani vile?ni muongo ajabu!
 
Pilipili+chumvi+limao=sumu. Ukipaka pale ofisi kuu ujue pataoza.
 
Back
Top Bottom