Pilau la njegere

Hujajisikia vibaya umejikunja jikoni halafu mzee kaishia kuonja tu? 😥
Hapana..sijajisikia vibaya kabisa maana najua sababu ni nini.
Huwa nakwazika pale mtu katoka zake huko kashiba anafika nyumbani badala akwambie ameshiba anaacha unaingia jikoni kumwandalia msosi halafu anadonoadonoa, ukimuuliza anasema alipita mahali akanywa supu.
Kwanini asiseme tangu amefika ili usisumbuke kumuandalia? Hiyo inakera
 
🤝🤝
 
La mama kumbe huwa unanimind dah ntakuwa nasema from today.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…