Pilau la Kibunge Magetoni

Hongera sana nimefarijika sana i like it now tutaelewana jukwaa la mapishi now litakuwa hot kila mtu atatamani kuingia
 
Wa unyankindi πŸ˜‚ Umejuaje we mbea na komwe lako!
 
Kha!
Kwa upishi huo wewe utaoa kweli?
 
Ndani ya dk ishirini geto pakaanza kunukia nikafungua madirisha na mlango kumuumiza roho demu mpangaji mwenzangu aliyenikataa kisa nakunywa pombe
 
Kachumbari la makaroti na matango kwangu halinogi simply napendelea nyanya, kitunguu chumvi kalimao na pilipili hii recipe ni konyo. .. ila Kila mmoja na akipendacho I respect that
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…