BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,512
- 21,617
Komwe litakuja polepole ukiendelea na mazoezi ya upishi π€©π€©π€©Hahah, sawa mkuu ila sina bichwa komwe itakuaje
Mshangazi wa "hogo la kimkakati"Kwa BICHWA KOMWE ππππ€©
ππππππMshangazi wa "hogo la kimkakati"
Hapo kuoa atachelewa sanaHongera sana mkuu,ila najiuliza Kama unaweza kupika hivo,utaoa kweli wewe π€
Sijaosha hapo nimeweka kama nilivonunua, sikuwaza kuna hilo jambo
Nitakumbuka siku nyingine
Hapana mkuu, kuoa lazimaHapo kuoa atachelewa sana
Ila nitabia yangu, hata nyama huwa sioshiHaaaa! πππ
Sawasawa, utupiemo picha za tutorialKomwe litakuja polepole ukiendelea na mazoezi ya upishi π€©π€©π€©
Ila nitabia yangu, hata nyama huwa sioshi
Mpaka nione kuna uchafu wa kuonekana labda
Shukrani aisee hicho kinywaji balaa hongera sana pilau limenyookaHaha, sijawakaribisha mkuu
Ngoja niwaite hawa Miss Bantu Joanah Aaliyyah Leejay49 Mahondaw miss chagga
Nahisi mchemsho unaua kila kitu, ila ni uvivu tu, umenikumbusha kuzingatiaOsha mkuu
Njegere osha,hata nyama inavyoshikwa shikwa vile huoni umuhimu wa kuosha??
π€£π€£nikajua ni mimi tu nimeona hilo jambo changanya na wale wadudu wa kijani πββοΈπPilau zuri,maandalizi amazing
Swali la kizushi...hizo njegere ulikumbuka kuziosha kweli?manake zinaonekana ni fresh from sokoni kwenye kifuko chake πββοΈπ
π€£π€£nikajua ni mimi tu nimeona hilo jambo changanya na wale wadudu wa kijani πββοΈπ
Hamu la pilau limeniishia π , Sema katoa kitu aisee πWale wadudu wa kijani na viuchafu uchafu vingine wakiwa wanazimenya π€¦ββοΈ
Kimsingi "msosi wa magetoni" ni ugali wa dona na dagaa kumi na mbili za chukuchuku.Hilo Siyo geto..
Na huo Siyo msosi wa magetoni..