donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
.
FAIDI NDUGU, NDIO RAHA YA KUFUGWA KWA SHEMEJI YAKO
bangi mbaya sana!!FAIDI NDUGU, NDIO RAHA YA KUFUGWA KWA SHEMEJI YAKO
Hapo kwenye supu ndo umeharibu pilau na supu wapi na wapi
Asante dada
ahhahahaah majibu yenu yanachekesha sanaFAIDI NDUGU, NDIO RAHA YA KUFUGWA KWA SHEMEJI YAKO
Hahahaahhahahaah majibu yenu yanachekesha sana
Pilau la mnadaniHapo kwenye supu ndo umeharibu pilau na supu wapi na wapi
Kishuzi chako kitakua si cha nchi hiii 😀😀😀
Acha wivu mkuuFAIDI NDUGU, NDIO RAHA YA KUFUGWA KWA SHEMEJI YAKO
ukali ukali mkuuhiyo ya kwenye ki plastic ni nini swahiba?