Pikipiki yangu silielewi, asubuhi nikiiwasha haiwaki

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,392
Jamani mimi ninapikipiki ila imeanza tatizo ambalo silielewi asubuhi nikiiwasha haiwaki tena ukilazimisha hadi betri linakuwa kama limeisha nguvu, ila ukiiicha kwa mda wa dk kama 25 ukiwasha inakubali, na Pikipiki hii haina kiki, unawasha kama Range Rover (gari).
 
Back
Top Bottom