Pikipiki ndogo inauzwa

Ama kweli hali ya sasa ni ngumu ,kinachouzikana kirahisi ni mahindi tu,mzigo upo
 
P
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
Umeshaiuza? Upo wapi? Kula 0.7 mil chaap
 
Watu tutafute hela ili tuchukue pikipiki alafu leo unasema nin???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji48]
Nisamehe ilikuwa mwaka Jana,shida iliisha. Kuuza hv vpkpk inahtaj moyo. Yaan raha sana kwenye mafuta,siuz kwa kweli nazugukia mjini.
 
Naomba namba ya dada nimuulize kitu kuhusu hiyo pikipiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…