Pikipiki ndogo inauzwa

Dada waapi bana wewe ,weka kadi tuone jina LA mmiliki
 
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
Mi naitaka,kama bado ipo!
 
Jaman mzigo bado upo, kwa wale wenye mahitaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…