sijui kuattah picha ngoja nijaribuTupicha,..
aah kumbe ? maana nmeenda pale pa upoload file , sio mafaili kwenye simu yangu ya kifungukaTumia app
acha utani kakaTupia kapicha ka pikipiki mtumiaji (dada) akiwa ana kata kona kuingia kazini.
nmedownload inayoitwa jamii forums(22mb), nikifungua inaniletea oops!,Ni download ip maana zipo nyingiDownload app ya JF
Download Tapatalk kwenye Playstore kisha search "JamiiForums " alafu log innmedownload inayoitwa jamii forums(22mb), nikifungua inaniletea oops!,Ni download ip maana zipo nyingi
sawaDownload Tapatalk kwenye Playstore kisha search "JamiiForums " alafu log in
Ni pikipiki ndo maarufu kama piki piki za kuendea kazini,ipo katika hali nzuri kabisa. Injini yake haijawahi kuguswa na spana.
Ni automatic
Sanya 110-12
Nyekundu.
Bei-1M.
2litres-100.1 km.
Anayehitaji ani-pm. Ilikuwa ikitumiwa na Dada kuendea kazini.
Nimeweka mkuuTupicha,..
Hiyo hapo japo sijui kama nmeiweka kwa usahihiTupia kapicha ka pikipiki mtumiaji (dada) akiwa ana kata kona kuingia kazini.
Naona ulifanikiwa mkuu'