siku hizi wanaziita kibao cha mbuzi
kwa yeyote mwenye pikipiki ambayo iko kwenye hali nzuri
kwa ajili ya biashara naomba contact.
Mie nafikiri kama ni hizi pikipiki za mchina hauna haja ya kununua used....coz hapo kariakoo zimejaa kibao and so cheapkwa yeyote mwenye pikipiki ambayo iko kwenye hali nzuri
kwa ajili ya biashara naomba contact.
siku hizi wanaziita kibao cha mbuzi
nipe contact niwatume watoto wangu waje kuiona Mkuu.