Pikipiki aina ya boxes inauwza, laki saba

Pikipiki aina ya boxes inauwza, laki saba

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,712
Reaction score
11,611
Wakuu kwa anayehitaji usafiri boda inauzwa, laki saba inahija matengenezo kidogo document zote zipo. Karibuni ipo temeke, buza.

A564D534-5D7D-4915-A5F7-0AEF5D81F3E7.jpeg

4EDD4163-906B-4137-9615-ED9541B09C30.jpeg
 
Bora mngenipa tenda ya kuitangaza, ubovu wa picha zako unafanya ionekane ya kichovu.

Inaonekana haijaoshwa.

Mzee ipige maji vizuri, ipake wese, tumia simu yenye camera kali, iweke nje sehemu tulivu kivulini. Fyatua picha kali kali , udhaifu mdogo mdogo kama huo hapo wa tenki kubonyea ufiche kiaina.

Halafu post sasa uone simu zikiita mpaka simu ipate wehu.
 
Mkuu unaficha udhaifu wa nini? Kwa anayehitaji it’s okay, asiyehitaji fresh tu ipo tu pale home imepaki, sina haraka nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom