Pikipiki 125 cc inakula mafuta kiasi gani....msaada pliz!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pikipiki 125 cc inakula mafuta kiasi gani....msaada pliz!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sijui nini, Apr 26, 2012.

 1. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  kwa anaefahamu, aina ni B2 INDIA, COMMUTER, ingine yake ni 125cc...

  [​IMG]
   
 2. M

  Malebe Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  125 cc inaenda wastan wa 40 km per litre
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Yanin kutafuta brain concussion? Vuta hata vitz mkuu.
   
 4. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 546
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Piki aina ya bajaj ya India ya 125cc inaenda up to 80km/litre. Kama hiyo yako ni ya kutoka India maybe na yenyewe ina uwezo huo. Kama vipi google website yao.
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,444
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  35km/Litre
   
 6. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Soma user manual ya hiyo pikipiki utayafahamu mengi zaidi.lakini kama niya india hutumia 50-60km/litre.
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  TEGEMEA kwenye user manual hawajaandika kuhusu oil consumption na ni kweli ni ya india, ni mpya na original (not chinese) na manual yake inayo na ni kama inavyoonekana kwenye picha hapo hivyo hivyo!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Haa!? sema kweli?! sasa sijui T-Better 150cc itakuwa inaenda km ngapi/lita
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0

  Unataka kununua kifo wewe
   
 10. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hata kwenye magari watu wanakufa kila siku...ishu ni umakini wa mtu mkuu....usipende kufuata upepo!!
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Haya mkuu ukikatwa mguu shauri yako
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  usiwasahau na wapitanjia wanaogongwa na magari kila siku na kuishia kuwa walemavu wa maisha....u be carefull u avoid accidents, u jifanya mjanja u die bila kujali unaendesha bajaji, gari, pikipiki, baskeli au miguu mkuu!!!
   
Loading...