sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
kwa anaefahamu, aina ni B2 INDIA, COMMUTER, ingine yake ni 125cc...
TEGEMEA kwenye user manual hawajaandika kuhusu oil consumption na ni kweli ni ya india, ni mpya na original (not chinese) na manual yake inayo na ni kama inavyoonekana kwenye picha hapo hivyo hivyo!!Soma user manual ya hiyo pikipiki utayafahamu mengi zaidi.lakini kama niya india hutumia 50-60km/litre.
Soma user manual ya hiyo pikipiki utayafahamu mengi zaidi.lakini kama niya india hutumia 50-60km/litre.
kwa anaefahamu, aina ni B2 INDIA, COMMUTER, ingine yake ni 125cc...
![]()
Hata kwenye magari watu wanakufa kila siku...ishu ni umakini wa mtu mkuu....usipende kufuata upepo!!Unataka kununua kifo wewe
Hata kwenye magari watu wanakufa kila siku...ishu ni umakini wa mtu mkuu....usipende kufuata upepo!!
usiwasahau na wapitanjia wanaogongwa na magari kila siku na kuishia kuwa walemavu wa maisha....u be carefull u avoid accidents, u jifanya mjanja u die bila kujali unaendesha bajaji, gari, pikipiki, baskeli au miguu mkuu!!!Haya mkuu ukikatwa mguu shauri yako