Pigo za Mimi mars mmezielewa

N mmoja kati ya wanawake maarufu naowatamani kimapenzi akifatia na Wini.
Wini aliyeimba Mandingo ???

Sema it happens, mimi hakuna celebrity ninayemkubali kama Jordin Sparks.

Halafu Jason Derulo akawa anamchezea tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hyo picha namba moja ma-mae , assume yupo kama alivyozaliwa ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ