Pigeni mswaki

Mtu una acha kupiga mswaki una kazi ya kutafuna vitunguu saumu asubuhii na karafuu mdomo una anza kunuka kitunguu saumu aseee pigeni mswaki wengine hiyo harufu ya kitunguu ina kera sana hasa ikitoka mdomoni mwa binadamu
tushirikishane jinsi ya kushauri mtu mwenye changamoto hii kiustaarabu bila kumfedhehesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…