Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

Ipi ni katiba bora kati ya Katiba ya Warioba na Katiba ya Sitta?

  • Sitta

    Votes: 11 3.0%
  • Warioba

    Votes: 353 97.0%

  • Total voters
    364
  • Poll closed .
hapa siyo mahali pa kupiga kura subirini wakati ukifika mtapiga jamani! maana hata mkipiga hapa warioba akapata 100% na sitta akapata 00% haitasaidia kitu kitachobaki ni kujifariji tu.kwani watanzania ni TWO IN ONE wale wa temeke mnamkumbuka mtu aitwaye tambwe hiza aliyekuwa mgombea ubunge wa cuf aliyekuwa akijifanya kufichua maovu ya ccm ila baada ya kushndwa uchaguzi kahamia ccm. so mi naona ccm walafi ukawa waroho
 
MPOTOSHAJI MKUBWA WEWE...Warioba alitoa rasimu, Sitta ametoa katiba, sasa unatuambia tupigie kura draft ...kamwambie warioba akutengenezee katiba kutokana na rasimu yake halafu ndio uje ulinganishe...halafu huo uhuni wa kujipigia kura mara nyingi umeutoa wapi??? mbona una haraka..subiri kura ya maoni halafgu utatumbiukiza kura yako kwenye sanduku la kura
Rasimu ya Warioba na Tume ya Mabadiliko ya Katiba = "A" au Rasimu ya Sitta,Chenge na Baraza Maalumu la Katiba = "B"


Piga kura yako kwa kuandika neno "A''au "B" au unaweza kuandika "Warioba au Sitta" ama unaruhusiwa kuandika "(TMK Tume ya Mabadiliko ya Katiba) au (BMK, Bunge Maalum la Katiba)", Uchaguzi ni wako.


Hii post si kwa ajili ya kuchangia.
NIKUPIGA KURA tu, Mwisho ni tarehe 15
Oktoba 2014. (NI HIARI)
 
Wandugu chukua fursa hii hapa kupiga kura ya ndio ama hapana kuhusu katiba inayopendekezwa kwa kuandika neno NDIO ama HAPANA
 
Back
Top Bottom