Piga kura kuhusu chadema na tanzania yako 2015-2020 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Piga kura kuhusu chadema na tanzania yako 2015-2020

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 2, 2012.

?

Je Watanzania tunaihitaji CDM iunde serikali 2015?

Poll closed Jun 1, 2012.
 1. ndiyo

  95.7%
 2. hapana

  0 vote(s)
  0.0%
 3. chama kingine na sio CHADEMA

  4.3%
 4. Sijui

  0 vote(s)
  0.0%
 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Salamu sana watanzania...Tunatambua umuhimu wenu katika Taifa hili na wote tulipendalo Taifa letu la Tanzania...Pongezi kwa Watanzania,Wanasiasa na wasiowanasiasa....Tunakuombeni mpige kura katika kichwa cha habari hapo juu ili kuweza kukitadhinini chama ndani ya miaka 3 ijayo kabla ya uchaguzi mkuu 2015...Kura yako ni ya muhimu sana kwa hili...

  Naombeni wote tutambue yakuwa Siasa ndio uchumi japo vyote vinashabihiana ila havikutani.....hivyo kura yako ni muhimu katika kujipanga zaidi.....

  Wenu Mpenda maendeleo kamanda mpambanaji..
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Shukran kwa kuleta mada iliyo mbele yetu ila naomba utambue sio wote wenye vyama mimi binafsi sichagui chama nachagua yule ambae anakubalika mfano kwenye kata yangu ninamchagua yule anaekubalika bila kujali anatoka chama gani anaweza kuwa anatoka chadema au NCCR - Mageuzi (mfano) kadhalika kwa nafasi ya mbunge na Rais.

  Umesema siasa na uchumi havishabihiani napenda kukurekebisha kuwa vitu hivyo vinashabihiana sana na vyama vinavyofikiria kushika dola au vinavyoshika dola vina jukumu kuonyesha njia za kuimarisha uchumi ikiwa ndani ya vyama vyao (kwenye mapato na matumizi) au halmashauri wanazoziongoza (ikiwa ni wapinzani) na kwa chama tawala kama CCM wao ndio hasa inawahusu kwa kuangalia kwa ujumla uchumi wa nchi ulivyo na jitihada gani za makusudi ikiwamo maamuzi magumu ili kufikia malengo ya kuimarisha uchumi. 2015 ni mbali na pengine si mbali kama tunavyodhania kwahiyo kila chama kichukue changamoto la kuimarisha uchumi katika kipindi hiki kuelekea 2015.

  Mwisho kabisa natoa pongezi zangu za dhati kwa Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki kwa kuchaguliwa kwake na wananchi wa jimbo la Arumeru Mashariki. Wananchi wamekuamini ni matumaini yangu, watanzania kwa ujumla waliokupigia kura na ambao hawakukupigia kura jimbo kuwa utawawakilisha ipasavyo Bungeni na nje ya kubunge kutetea na kulinda maslahi ya Arumeru wanameru na watazanzania kwa ujumla.


  Mohammed.
   
 3. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  oki nimepiga kura yangu bira kinyongo
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo:
  :A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
   
 5. S

  SILVANUS NJENGA Senior Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "UMENENA VIZURI " mr. Mohammed shossi
   
Loading...