Piga kura chagua mgombea, usichague chama

Piga kura chagua mgombea, usichague chama

CCM ni mfano wa gari bovu ambalo wanaccm wanampa dereva,ambaye ni magufuli huku wakiwa na matumaini ya kushinda mashindano ya magari.huu ni upimbii uliokomaa!
 
Vizuri umetambua yeye ni msafi, najua unajua ccm inanuka, na mmoja kati ya anayenuka kaondoka na harufu yake hadi ukawa.
Chama lenu chakavu ni kama zigo la mavi. Magufuli wakati mwingine anatamani angekuwa mgombea huru/binafsi. maana lichama linanuka sasa.
Sasa mtulie.Kwakuwa Huyu magufuli amedhaminiwa na lichama linalonuka,lazima lim-induce harufu.
Kura ni UKAWA na Lowasa.
 
Mtu makini hawezi chagua mawaziri mizigo, pia ananafasi 10 za kuteua wabunge akawafanya mawaziri, pia wapo wachache wa upinzani wanafaa.
Tuchague MTU kwani ni mgombea binafsi au kuna chama chenye watu wengi waliooza nyuma yake ambao ndo hao hao watakua mawaziri pia yani unamaanisha wale mawaziri mzigo tuwarudishe tena no way
 
If you are not with us you are against us, hapa ni CCM vs Upinzani and by Upinzani namaanisha UKAWA, hizo zingine zote ngonjera tu.
 
Vizuri umetambua yeye ni msafi, najua unajua ccm inanuka, na mmoja kati ya anayenuka kaondoka na harufu yake hadi ukawa.
Did i say he poses sanctitude? Magufuli Urais kwake ni outsized. Atleast he'ld make a better Prime Minister.
Vote LOWASSA for President.
 
Mwaka huu tumebaki na option moja tu nayo ni Lowasa na wagombea ubunge na udiwani kupitia vyama vinavyounda UKAWA.

Ukichagua mtu toka CCM ni sawa na kuirudisha system mbovu madarakani.
 
Unachagua chama au unachagua mtu?

Mwaka huu tumebaki na option moja tu nayo ni Lowasa na wagombea ubunge na udiwani kupitia vyama vinavyounda UKAWA.

Ukichagua mtu toka CCM ni sawa na kuirudisha system mbovu madarakani.
 
Back
Top Bottom