Piga kura chagua mgombea, usichague chama

Mateja M.G Yango

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
613
Reaction score
1,097
Joshua Nasari, Mbunge kupitia CHADEMA amekuwa mfano mzuri wa kuigwa.
Deo Firikunjombe (R.I.P), alikuwa Mbunge kupitia CCM, kila mtu anafahamu utendaji wake.
Kiutendaji jimboni wote wamekuwa hodari, naimani kwenye zoezi la upigaji kura wananchi watampa kura Nasari kutokana na utendaji wake na si chama chake.

Tundu Lissu, ni mtetezi bungeni, vivyo hivyo Kangi Lugola, watanzania tunawapenda kwa huo huo utetezi wao, tunaomba Mungu warudi tena bungeni. Wote hawa tunawajudge kutokana utetezi wao bungeni, si vyama vyao.

Uongozi wa mtu hautegemei yupo chama gani, utashi wake binafsi utamuongoza kutawala vile inavyompendeza.
Linapokuja suala la Lowasa vs Magufuri, watu wanajisahau au kwa makusudi wanaleta mahaba ya vyama, haijalishi tutapata raisi kutoka chama gani, muhimu ni kupata raisi mtendaji, raisi mfatiliaji na mtekelezaji.

Siasa zilizokomaa zinahitaji uwepo wa vyamba vya upinzani vilivyo makini, na chama tawala hodari, hapo nchi itasonga mbele. CCM iliwapiga bao wapinzani kwa kuchagua mtu metndaji (Magufuri) chadema ikachagua mtu maarufu (Lowasa). Siku chache mshindi atajulikana, kama kuna makosa ya kiutendaji yalifanyika yatajulikana pia.

Nikiwaza hili jibu sipati,.....kama CHADEMA walijua mapema watamuhitaji Lowasa, na kama Lowasa alijua mapema angepata nafasi CHADEMA, zaidi ya nusu ya wajumbe CCM walikuwa na imani nae, kimya kimya tu support hiyo ingeamishiwa kwa Membe, ushindi kwa Membe ndio ingekuwa mpasuko wa CCM, kiulaini Lowasa angepata ingia Ikulu. Leo mambo yapo tofauti, Magufuri ni jembe zaidi yake, CCM ilishapoteza matumaini, leo ipo kifua mbele.....kwa namna hii mchawi wa CHADEMA ni yenyewe.....au huu mchezo wa Lowasa kuhamia CHADEMA ni mchezo uliokuwa engineered na CCM wenyewe kama namna ya kuipoteza CHADEMA .......kwa hali inavyoenda CCM ikishinda tu huu uchaguzi tegemea itaongoza miaka 20 mbele, maana utendaji wa Magufuri unajulikana......

Mwisho wa siku kila chama kina mapungufu yake, tena makubwa tu, cha muhimu ni kupata watu sahihi wa kuviongoza hivi vyama vikuu viwili nchini ili nchi iweze songa, bila kusahau piga kura yako kwa mtu sahihi, usifanye maamuzi yako kwa kuegemea chama fulani......pambanisha wapigiwa kura, utapata tu aliye sahihi.
 
Chama lenu chakavu ni kama zigo la mavi. Magufuli wakati mwingine anatamani angekuwa mgombea huru/binafsi. maana lichama linanuka sasa.
Sasa mtulie.Kwakuwa Huyu magufuli amedhaminiwa na lichama linalonuka,lazima lim-induce harufu.
Kura ni UKAWA na Lowasa.
 
Kati ya Magufuri na Lowasa na anafaa kuliongoza taifa letu?

Chama lenu chakavu ni kama zigo la mavi. Magufuli wakati mwingine anatamani angekuwa mgombea huru/binafsi. maana lichama linanuka sasa.
Sasa mtulie.Kwakuwa Huyu magufuli amedhaminiwa na lichama linalonuka,lazima lim-induce harufu.
Kura ni UKAWA na Lowasa.
 
Siitaki CCM tena madarakani. Hii itakuwa dira yangu ya nani nimchague.
 
Tuchague MTU kwani ni mgombea binafsi au kuna chama chenye watu wengi waliooza nyuma yake ambao ndo hao hao watakua mawaziri pia yani unamaanisha wale mawaziri mzigo tuwarudishe tena no way
 
Kumchagua Magufuli ni sawa na kuirudisha CCM madarakani na Watanzania wengi hawana tena na hamu hiyo, wameuchoka ulaghai wa CCM, wamechoka ngonjera za CCM, wamezichoka ahadi hewa za CCM na wamezichoka sera ya CCM za kulindana. Kama huchagui chama, maana yake ni kwamba hutashiriki katika uchaguzi na hivyo kupoteza haki yako ya kikatiba ya kupiga kura.
 
URAIS:Unachukua,Unaweka LOWASA.UBUNGE na UDIWANI:Unachukua,Unaweka UKAWA (CHADEMA,CUF,NCCR,NLD).Ukirudia makosa,usilalamike tena
 
URAIS:Unachukua,Unaweka LOWASA.UBUNGE na UDIWANI:Unachukua,Unaweka UKAWA (CHADEMA,CUF,NCCR,NLD).Ukirudia makosa,usilalamike tena
 
Joshua Nasari, Mbunge kupitia CHADEMA amekuwa mfano mzuri wa kuigwa.
Deo Firikunjombe (R.I.P), alikuwa Mbunge kupitia CCM, kila mtu anafahamu utendaji wake.
Kiutendaji jimboni wote wamekuwa hodari, naimani kwenye zoezi la upigaji kura wananchi watampa kura Nasari kutokana na utendaji wake na si chama chake.

Tundu Lissu, ni mtetezi bungeni, vivyo hivyo Kangi Lugola, watanzania tunawapenda kwa huo huo utetezi wao, tunaomba Mungu warudi tena bungeni. Wote hawa tunawajudge kutokana utetezi wao bungeni, si vyama vyao.

Uongozi wa mtu hautegemei yupo chama gani, utashi wake binafsi utamuongoza kutawala vile inavyompendeza.
Linapokuja suala la Lowasa vs Magufuri, watu wanajisahau au kwa makusudi wanaleta mahaba ya vyama, haijalishi tutapata raisi kutoka chama gani, muhimu ni kupata raisi mtendaji, raisi mfatiliaji na mtekelezaji.

Siasa zilizokomaa zinahitaji uwepo wa vyamba vya upinzani vilivyo makini, na chama tawala hodari, hapo nchi itasonga mbele. CCM iliwapiga bao wapinzani kwa kuchagua mtu metndaji (Magufuri) chadema ikachagua mtu maarufu (Lowasa). Siku chache mshindi atajulikana, kama kuna makosa ya kiutendaji yalifanyika yatajulikana pia.

Nikiwaza hili jibu sipati,.....kama CHADEMA walijua mapema watamuhitaji Lowasa, na kama Lowasa alijua mapema angepata nafasi CHADEMA, zaidi ya nusu ya wajumbe CCM walikuwa na imani nae, kimya kimya tu support hiyo ingeamishiwa kwa Membe, ushindi kwa Membe ndio ingekuwa mpasuko wa CCM, kiulaini Lowasa angepata ingia Ikulu. Leo mambo yapo tofauti, Magufuri ni jembe zaidi yake, CCM ilishapoteza matumaini, leo ipo kifua mbele.....kwa namna hii mchawi wa CHADEMA ni yenyewe.....au huu mchezo wa Lowasa kuhamia CHADEMA ni mchezo uliokuwa engineered na CCM wenyewe kama namna ya kuipoteza CHADEMA .......kwa hali inavyoenda CCM ikishinda tu huu uchaguzi tegemea itaongoza miaka 20 mbele, maana utendaji wa Magufuri unajulikana......

Mwisho wa siku kila chama kina mapungufu yake, tena makubwa tu, cha muhimu ni kupata watu sahihi wa kuviongoza hivi vyama vikuu viwili nchini ili nchi iweze songa, bila kusahau piga kura yako kwa mtu sahihi, usifanye maamuzi yako kwa kuegemea chama fulani......pambanisha wapigiwa kura, utapata tu aliye sahihi.

Wewe mwandishi utakuwa ni Mafuli tu japo kama umekuja kwa gea nyengine sasa! Wewe na chama chako Hamupati kura yangu kamwe. Jumapili Ninamuua nyani na simtazami hata usoni. Maguli + CCM out !
 
sawa nimekuelewa...nitamchagua lowasa sitachagua chadema.
 
Hahaaaa lowassa huyoooo! Gufuli nje na xxm lake!
 
Back
Top Bottom