piga hodi mara tatu (x3)

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Jamani nawakumbusha kuwa ukienda kwa rafiki au ndugu yako ambaye yupo kwenye ndoa au anaishi na mpenzi wake
Kabla hujaingia gonga hodi Mara tatu , hata Kama kuna dalili unaziona au viashiria kuwa kuna mtu ndani ya nyumba usiingie
Narudia tena usirudie ni mwiko hata Kama utasikia sauti yoyote humo ndani madam umegonga hodi Mara tatu na hujakaribishwa /kufunguliwa mlango usiingie

Nawakumbusha mila
 
ni kweli, mana unaweza-kuta mwenza wako yuko huko ndani anafanya mazoezi ya viungo.
 
Kuna wapuuuzi wanazungusha kitasa ndo unasikia hodi huku washaingia ndani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom