Mzeee nakwambie utamchoka kesho tu huyoKidume walau apige 3 km sio 2 yaan upige moja umekua bata wewe acha ufara mkuu umekua mwanaume wa dar ww[emoji848]
HaahaahaahaaaInategemeana na unakotokea.
Mimi mwanaume wa Mkoani, siku nikipiga gori moja lazima niulizwe maswali mengi sana.
1. Wapi nimepiga mechi nyingine kabla?
2. Je, unaumwa?
3. Leo nini kimekusibu? n.k.
Ni mwendo wa Hat trick.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaahaa noma sana... Mwanangu unajua huyo ndio wa maisha..Tusipangiane, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake na huruma ya mchungaji wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio makosa mzeee ila mwenzako unamchakazaso hat trik ni makosa ? wangekuwa wanapewa mpira wa nn sasa ?
Duuuh hatari hii...mzee utamchubua mtu bure..Kimoja unakuwa hata ujaikuna papuchi vizuri lazima uchapiwe....piga angalau viwili kama umechoka sana.....Ila wale wenye tamaa wenzangu tunapiga mpaka aseme inawaka moto
We unaionea huruma wakati jamaa jingine linaipiga mpaka makofi na bado anang'ang'ania uko...
Piga goli moja mengine nitakuja kukupigia mimi ukitoka kwenda mishe/KaziniMambo vipi.. Unajua kuna wanaume/vijana wa kiume wanaamini au wamekaririshwa kuwa kupiga magoli mengi ndio kuonyesha kuwa wewe ni mwanaume... Huu ni ufala
Sikiliza wewe unayeamini hivyo. Katika mapenzi(sex) mchezo huwa hivi... Piga goli moja na mwenzo apige goli moja mpumzike mpaka siku nyingine au wakati mwingine.
Hii husaidia katika mapenzi msichokane na mzidi kupendana zaidi.
Sasa unakuta jamaa anakula sijui Nazi, karanga maziwa ya mgando sijui nini na nii bado anasoma vitabu kadahaa....Daah.
Sheiria ya mchezo PIGA GOLI MOJA, NA MWENZIO APIGE INATOSHA.
Sent using Jamii Forums mobile app