Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,733
- 218,320
Unaambiwa kwenye mbio za maisha ukipata nafasi ya kupiga hela kihalali itumie haraka sana , Kuchelewa ni hasara kubwa sana.
Huyu kijana alipata nafasi ya kuvuna chochote hadi baadhi ya viongozi wakachukia , Cha ajabu sasa ni hiki , Maadui zake walipoondoka naye amepotea!
Je ni kweli kwamba sometimes tunahitaji maadui ili tufanikiwe?
Yuko wapi Pierre Liquid, Mhamasishaji wa Timu ya Taifa?