Piere Liquid amepotelea wapi?

Huyu jamaa umaarufu umemkuta kupitia ulevi wake. Ila ni fundi fenicha tuu na ndio kazi iliyokua inampa kipato anakunywa bia zake.

Yupi pale temeke anakunywa zake bia wala hana shida na kamera
 
View attachment 2273114

Unaambiwa kwenye mbio za maisha ukipata nafasi ya kupiga hela kihalali itumie haraka sana , Kuchelewa ni hasara kubwa sana .

Huyu kijana alipata nafasi ya kuvuna chochote hadi baadhi ya viongozi wakachukia , Cha ajabu sasa ni hiki , Maadui zake walipoondoka naye Amepotea !

Je ni kweli kwamba sometimes tunahitaji maadui ili tufanikiwe ?

Yuko wapi Pierre Liquid , Mhamasishaji wa Timu ya Taifa ?
K vant imemmaliza
 

Unaambiwa kwenye mbio za maisha ukipata nafasi ya kupiga hela kihalali itumie haraka sana , Kuchelewa ni hasara kubwa sana.

Huyu kijana alipata nafasi ya kuvuna chochote hadi baadhi ya viongozi wakachukia , Cha ajabu sasa ni hiki , Maadui zake walipoondoka naye amepotea!

Je ni kweli kwamba sometimes tunahitaji maadui ili tufanikiwe?

Yuko wapi Pierre Liquid, Mhamasishaji wa Timu ya Taifa?
Yupo amejaa tele pale liquid
 
Achana na jamaa enendelea kuangaika na mambo yako ya constutition na ccm,bwana yako mbowe n mbwa koko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom