View attachment 2273114
Unaambiwa kwenye mbio za maisha ukipata nafasi ya kupiga hela kihalali itumie haraka sana , Kuchelewa ni hasara kubwa sana .
Huyu kijana alipata nafasi ya kuvuna chochote hadi baadhi ya viongozi wakachukia , Cha ajabu sasa ni hiki , Maadui zake walipoondoka naye Amepotea !
Je ni kweli kwamba sometimes tunahitaji maadui ili tufanikiwe ?
Yuko wapi Pierre Liquid , Mhamasishaji wa Timu ya Taifa ?