Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
mkuu Money stunna na Dotworld hakuna kinachoonekana au sijui ni pc yanguu tuu
mkuu Money stunna na Dotworld hakuna kinachoonekana au sijui ni pc yanguu tuu
mkuu Money stunna na Dotworld hakuna kinachoonekana au sijui ni pc yanguu tuu
Hakuna kinachoonekana wakuu!
Tatizo tulipewa uhuru mapema sana,kwanza tungechezea kichapo kwanza ndo akili zingefanya kazi,wenzetu walishughulikiwa sasa ni kama ulaya,sisi madini yooooooote tunawaachia Wamarekani wajizolee na kutuachia mashimo badala ya magorofa -KALAGABAHO!!!!!!!!!!!
Kama kawaida typical Mwafrika kupenda uraisi na vitu alivyotolea jasho mwingine, wenzenu wafanye kazi watoe jasho wajenge nyie kazi kwenda kustarehe na kuwaza holliday, kujenga kwenu mhh, ndio maana hamtakiwi kila mahali, kwanza ukifika huko wakikuona tu kaunta ya hoteli watakwambia vyumba vimejaa!Cape town is the best vacation destination ever. ina vivutio vingi sana, one week might not be enough.
Kama kawaida typical Mwafrika kupenda uraisi na vitu alivyotolea jasho mwingine, wenzenu wafanye kazi watoe jasho wajenge nyie kazi kwenda kustarehe na kuwaza holliday, kujenga kwenu mhh, ndio maana hamtakiwi kila mahali, kwanza ukifika huko wakikuona tu kaunta ya hoteli watakwambia vyumba vimejaa!