Picture of the day

Picture of the day

nakuhesabia tu hi ni wiki ya tatu ujanisifia kabisa nilivyomzuri nasikia barabarani tu mi sitaki nitakuacha ujue
miss chagga ulivyo mzuri hakuna mfano wako na wala hakuna wa kulinganisha na wewe na uu mzuri kuliko maua rose na harufu na muonekano wako ni wa kipekee hakuna wa kufananisha na wewe
Umbo lako na sura yako vinawapagawisha wengi na mwendo wako wa madaha ukichangia na urembo wako hakuna wa kufanana na wewe
 
Last edited by a moderator:

i love u Mr Rocky 8202405_f520.jpg
 
nataka baba uliniahidi mwenyewe leo nimepata pakuanzia nimevumilia nimechoka... namwita mama... baba namwita mama leo mpaka utoe hela

Hela zipo kwa ajili yako mwanangu ila niambie tu unapeleka wapi? Nakupa zote
 
Mkuu huyu kamanda naona kama anazuga kuwapanga lakini moyoni ana jambo lake na hasa la kutaka ndoa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom