englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Aise mimi nna makosa kibao embu wajekunikamata
Mwanangu miss chagga hujambo?
kibuti kinanukia kwako umeanza umeanza ... sasa naomba uache laki tano ili nikusamehe
shikamoo baba ... baba mzuri umeanza tabia mbaya? nimekukamata nipe ile hela uliyoniahidi nisimwambie mama
Nimesifia tuu uumbaji mpendwa wangu miss chagga hapo sikwenda mbali na ukweli
Marahaba mwanangu, mbona leo umewahi kuamka? Usimwite mama yako mtaa huu kuna watu wengi
ukitaka hivyo nipe ile hela yangu baba .. la sivyo namwita mama sasa hivi nimwonyeshe nipe hela yangu