Picture of the day

Picture of the day

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Wanaongea nini?
 

Attachments

  • riz.jpg
    riz.jpg
    54.7 KB · Views: 430
hivi akitambulishwaga mmoja wengine wanajisikiaje, ....time, time!
 
Ndio maisha ya Usultani hayo...
 
Hakuna cha maana wanachoongea zaidi ya utambulisho tu na kuuza sura hapo.
 
Mkulu kahakikisha Riz anakutana na Obama

Ukitaka kujua hapo kulikuwa na kujipendekeza, hebu angalia hao wawili wa upande wa kulia wanavyojichekelesha kwa mtu ambaye yupo serious...
Mandhari kama hiyo huwa inanikumbusha jinsi mzazi au godfather anavyokupigia pande la kazi kama ukienda naye ofisi ya rafikiye ili tu akunadi...
 
Huwezi kula bila kuliwa kidogo
By JK Mrisho

Teh teh kwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom