Picture:dunia na maajabu yake

Picture:dunia na maajabu yake

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
hivi inawezekana kweli au ni kuwaadaha walimwengu......?????
jamaa amefanya plastic surgery ili awe nasura ya mbwaa.
hii ni huko brazil na ni ya kitambo toka mwaka juzi vile 2013.

dogman.jpg


2-150x150.jpg
5-150x150.jpg
6-150x150.jpg
3-150x150.jpg


kwa maelezo soma hapa.....Brazilian Man Got a Dog Face by Plastic Surgery | HaqJo.com
 
habari zingine uwe uazipotezea tu mkuu
 
Binadamu kwa kumkana Mungu kwa kweli tunajitahidi sana. Hapa akifa kwenye meza ya operation ataomba Mungu amsaidie, yaani?
 
Back
Top Bottom