Pichaz: Dada Mage wa Tabora akitoa kikombe

Pichaz: Dada Mage wa Tabora akitoa kikombe

Kama ni Mungu ainuliwe na kama ni vinginevyo ashughulike navyo, tunahitaji maisha nduguzangu
 
ndiyo hivyo tayari watu wanakunywa. kila mkoa na wilaya na pengine kitongoji na hata kila mtaa utakuwa na kikombe chake. Na serikali inabariki tu.
Ndg yangu! Hayo ya Babu,Tabora na hata Mbeya ni madogo,Maandiko yanasema bado miujiza itatendeka lkn bado hayo yote ni dalili2. Na siyo mwana Adam. 2tashanga!!!!!
 
Wanajamii wenzangu naogopa hata kuchangia ila napenda kuwarejesha kiimani zaidi ukitaka ok hutaki potezea chakachua chakachua na bwaga paaaa,na kama likikukera live me alon.nenda kwenye imani ya kiislamu atakuja mtu aitwaye masidajali yeye ataweza kufanya vile vyote vilivyotushinda tukumwanini tutapigwa chapa baada ya hapo utaingia motoni hawa wanaosena anatibu tutumie akili zetu sana tusimshirikishe mungu na kitu...
 
Back
Top Bottom