nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,798
non executive directorasiye mtendaji?? sijaelewa hapo
then wat the hell is his duties in the company like Fast Jet? Nielimishe plznon executive director
then wat the hell is his duties in the company like Fast Jet? Nielimishe plz
Km hivo sawa asee!Labda kazi yake ni kushiriki vikao tu na kupata infos
anawakilisha shareholder fulani au yeye mwenyewe ni shareholder
hafanyi kazi za kila siku
Mkuu naona html codes ziligoma kufungua na kufunga hapa.
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Lawrence Masha (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa Entebbe wiki iliyopita. Kulia ni Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati.[/TD] [/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Meneja Mkuu wa shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto aliyeinama) na Mkurugenzi asiye mtendaji wa fastjet Lawrence Masha (Kulia aliyeinama) wakikata keki kwa pamoja katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katiKa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Wengine pembeni ni Mshauri Kibiashara wa Fastjet, Ian Petrie (Kulia) na Mkurgenzi mtendaji wa Simba Travelcare, Uganda, Declan Peppard (Kushoto).[/TD] [/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Meneja Mkuu wa shirika la Ndege Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (wapili kushoto) akipongezana na mkurugenzi asiye mtendaji wa Fastjet Lawrence Masha (watatu kushoto) katika uzinduzi wa safari mpya kati ya Kilimanjaro, Tanzania na Entebbe, Uganda. Uzinduzi huo ulifanyika katiKa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wiki iliyopita. Wengine pembeni ni Mshauri Kibiashara wa Fastjet, Ian Petrie (Kulia) na Mkurgenzi mtendaji wa Simba Travelcare, Uganda, Declan Peppard (Kushoto) Source Habari 24Blog [/TD] [/TR]