Pichani MAFURIKO YAUKUMBA MJI WA MTWARA LEO

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
SUNDAY, JANUARY 20, 2013

Mvua kubwa iliyonyesha mapema leo mjini Mtwara imepelekea mafuriko katika maeneo mbali mbali ya mji huu na kufanya wakazi wa maeneo haya kupata kuanza kuhangaika kuhamisha vitu vyao na wengine wakiwa hawajui la kufanya maana maji yamejaa mpaka majumbani mwao.Ni balaa kubwa la mafuriko ya maji Mtwara leo hasa eneo la Chuno. Eneo hili ni karibu na nyumba ya Mzee Hokororo au Dr Mwakipa. Hali ni mbaya sana na maji yanaendelea kujaa hadi mchana huu.Hakuna taarifa yeyote mtu yeyote aliyepoteza maisha. Msaada wa haraka unahitajika kwa wananchi hawa.Picha na Mdau Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii,Mtwara.

​

SUNDAY, JANUARY 20, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

Yule MGANGA kaanza kazi zake?
 
poleni wana mtwara.

naamini haina uhusiano na laana ya kudai gesi.
 
SUNDAY, JANUARY 20, 2013

Mvua kubwa iliyonyesha mapema leo mjini Mtwara imepelekea mafuriko katika maeneo mbali mbali ya mji huu na kufanya wakazi wa maeneo haya kupata kuanza kuhangaika kuhamisha vitu vyao na wengine wakiwa hawajui la kufanya maana maji yamejaa mpaka majumbani mwao.Ni balaa kubwa la mafuriko ya maji Mtwara leo hasa eneo la Chuno. Eneo hili ni karibu na nyumba ya Mzee Hokororo au Dr Mwakipa. Hali ni mbaya sana na maji yanaendelea kujaa hadi mchana huu.Hakuna taarifa yeyote mtu yeyote aliyepoteza maisha. Msaada wa haraka unahitajika kwa wananchi hawa.Picha na Mdau Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii,Mtwara.

​

SUNDAY, JANUARY 20, 2013 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG

Laana imeanza kuwatfuna kwa ubinafsi Mungu hapendi ubinafsi hapo mmeonywa ninyi na wanaowashabikia ee Bwana uwaokoe wasiangamie
 
Hichi ni kipimo kingine nmna gani serikali ya CCM itawasaidia wakazi wa Mtwara ambayo imekua haiwapi kipaumbele
kama walivyooanisha kwenye maandamano yao.
 
mm hutafakari na kujiuliza wazanzibari walipodai mafuta yao watu walisema wazanzibari wachoyo baada ya kuona mafuta wanataka kujitenga, ya mtwarA NI KUDAI HAKI
 
Yule kikongwe mbona hakuzuia mafuriko hayo au ndiyo yanakuja kugeuza gesi kuwa maji kama alivyosema! Old stone age!!!
 
Poleni sana wanaMtwara, zingatieni sana tamko la shura ya maimamu.
 
mm hutafakari na kujiuliza wazanzibari walipodai mafuta yao watu walisema wazanzibari wachoyo baada ya kuona mafuta wanataka kujitenga, ya mtwarA NI KUDAI HAKI

Acha kupotosha, wa mtwara hawajasema kutumia gesi peke yao,ila Wazanzibar ilikuwa kinyume
 
Mbona mafuriko yanatokea kila mwaka sema yalikua hayatangazwi.
 
Back
Top Bottom