Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

Status
Not open for further replies.
Anapoteza muda wake huyo.Mtu anayeandaliwa mikutano na CCM na maripota wake Jamvini ni wanaCCM.

ha ha ha ha, mna haha kama mijibwa koko,,,kakwambia nani kama kaandaliwa na ccm??? acheni unafiki,,,,,,,,asingepata watu mngesema hivyooooo???? hii ni aibu kwenu,,mfukuzeni ila eleweni Zitto atarud bungeni na hata kufa kisisa, kwani ni mpigania haki, usawa, uwajibikaji na uwazi,,mambo hayo ndio ngao yake dhidi ya mishale ya wahafiudhina kama weweeeeee.
 
Nimesoma nao wengi sana ila nadhani upstairs huwa kuna shida fulani!!!!!!

jamani hii si sawa...! Watu watanzania waishio Kigoma wana haki kufanya wanachokiamini. Kama wanachokiamini hamkubaliani nacho ni jukumu lenu kuwaelimisha waamini vinginevyo tena kwa lugha ya staha. Mnachokifanya ni kuongeza chuki ambazo hazisaidii kamwe kuimarisha umoja wa watanzania.

Ebu waelimisheni watanzania wenzetu hawa wajitambue kwa namna ambayo inaimarisha umoja wa Watanzania wote.

Nina imani Nicholas utaniunga mkono katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Zitto kakaribishwa kwa shangwe na vigeregere,kwa kweli watu walikuwa wengi sana.waze wa heru juu walimvika nguo ya asili.kwakiha inaitwa mbuzu na kofia yake akapewa na mkuki.zitto kasema kuwa yeye ataendelea kuwatetea wanyonge wote bila kubaguwa ni mkoa gani.kwani yeye si mbunge wa kigoma tu,ni mbunge wa tanzania nzima.wakati anaondoka,gari lilisukumwa hadi barabara kubwa kutokea uwanjani.wakiwa wanapiga kelele,raisi raisi raisi raisi raisi.
 
Nguvu ya Zitto ni zaidi ya tufani au kimbunga,mapokezi ndani ya kasulu hayajawahi tokea,mwenyekiti wa chadema mzee bujoro kajificha,maana anaelemea upande mbowe ili amsaliti Zitto na kufanya fitna ili zitto aonekane hakubaliki kwao,lkn sasa mwisho wa ubaya imekuwa aibu,mkutano wa Zitto umeandaliwa na wafanya biashara wa kasulu mjini, coordinator mkubwa na aliehusika kuhamasisha ni kijana masoud ambae ni mwenyekiti wa Bavicha kasulu,masoud kaamua kufa na Zitto huku Bujoro akifa na Slaa na Mbowe,sasa masoud anaungwa mkono na watu karibu wote wa kasulu huku bujoro akiishia matusi na kutengwa na jamii ya kasulu,Zitto ni mandela wa kigoma na ndio timaini pekee la wanakigoma waliotengwa na kutelekezwa kwa miaka mingi na serikali ya ccm
Achaa unafiki wewe hata hufahamu itifaki za kichama/kivyama ni kupe akiba ya maneno ni kwamba Zitto yuko kwa ziara yake binafsi hata haitambuliki na Baraza kuu la Chadema ndio maana huwezi kuwaona viongozi wa Chadema kama huyo Mwenyekiti wa Chadema Kasulu.Moja kwa moja ni kwamba Zitto kavunja katiba ya Chama kwani hakuna hata taarifa na kama angekuwa na akili nzuri au niseme kama angekuwa mstaarabu basi asingefanya mkutano Kasulu angeenda moja kwa moja Jimboni kwake hapo angeeleweka kwa mbalii so kabla ya kuposti chochote jaribu kuangalia mambo muhimu then ndio uposti.Kwa staili ya watu kama nyie inakuwa vigumu sana kwa Taifa kuendelea tujitahidi kusoma alama za nyakati kuliko ushabiki ambao hautusaidia katika maisha yetu
 
Mzee wa kutembea na sumu na hapo unasemaje?

M-beba sumu keshashindwa kumng'oa Zitto. Sasa atatafutwa yeyote alikuwa mwepesi mwepesi ndani ya chadema na m-beba sumu atamtolea hasira zake huyo victim mpya.

Sugu, jiangalie, you may be the next in line. You know that you ain't one of them, don't you?
 
Zitto mtaalam wa Chess ya Siasa. Siku moja kwa masikio yangu nikiwa mahakama ya Kisutu namsikia Tundu Lissu akisifu uwezo wa ujengaji wa hoja wa Zitto. The guy is a treasure for the party and the nation, isipokuwa wasiompenda wana lao jambo!
 
Nguvu ya Zitto ni zaidi ya tufani au kimbunga,mapokezi ndani ya kasulu hayajawahi tokea,mwenyekiti wa chadema mzee bujoro kajificha,maana anaelemea upande mbowe ili amsaliti Zitto na kufanya fitna ili zitto aonekane hakubaliki kwao,lkn sasa mwisho wa ubaya imekuwa aibu,mkutano wa Zitto umeandaliwa na wafanya biashara wa kasulu mjini, coordinator mkubwa na aliehusika kuhamasisha ni kijana masoud ambae ni mwenyekiti wa Bavicha kasulu,masoud kaamua kufa na Zitto huku Bujoro akifa na Slaa na Mbowe,sasa masoud anaungwa mkono na watu karibu wote wa kasulu huku bujoro akiishia matusi na kutengwa na jamii ya kasulu,Zitto ni mandela wa kigoma na ndio timaini pekee la wanakigoma waliotengwa na kutelekezwa kwa miaka mingi na serikali ya ccm

Kweli kutokujua maana ya maneno ni tatizo ebu fafanua hiyo nguvu ya UMMA unamaanisha nini, yaani kutoonekana katika mkutano usiomuhusu basi kakimbia. Tambua hiyo ziara ya ZITTO ni binafsi na haiusiana na chama ulitaka yeye kama Mwenyekiti afanyeje?
 
hahaha mkuu kibogo kweli hili limekuumiza hadi umekuwa spokesman
 
Zitto mtaalam wa Chess ya Siasa. Siku moja kwa masikio yangu nikiwa mahakama ya Kisutu namsikia Tundu Lissu akisifu uwezo wa ujengaji wa hoja wa Zitto. Thei guy is a treasure for the party and the nation, isipokuwa wasiompenda wana lao jambo!
zitto Ni kiboko yao,Watakaa chini waombe Pooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom