Picha zinatisha: Mlinzi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire avamiwa na kujeruhiwa na simba

Sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Mwalimu wa Uogoleaji ( Swimming ) nae anaweza Kuzama Baharini au Ziwani au Mtoni kama ambavyo Mwalimu wa Wanyamapori anavyoweza kuraruwiwa vibaya vibaya hadi kujeruhiwa na King of the Jungle a.k.a Lion.
Yote tisa kumi kwenye sekta ya uwindaji usiombe kuwinda chui au nyati kiboyaboya unatandika risasi unajuwa umeuwa kumbe umewekewa mapozi sogeza wowowo lako hapo haraka uone chui huwa anafanyakazi vipi hata mkiwa 20 wote atawaacha na majeraha makali na atatokomea.

Ukiwa mgeni kwenye uwindaji usithubutu kumsogelea nyati muda huo mliopiga ikiwezekana wekeni alama mrudi kesho asubuhi ndio mbebe nyama kwa usalama wenu.
 
Napata ghazabu ninapoquotewa na wachangiaji wasenge ........rema obama alipokuja tz alitaka kwenda na waliopanga ratiba yavkwenda kwenye africa safar ya serengeti lakin wakaghairi sababu bajet ya kulipa sniper haikua kubwa sasa zoba sikiliza soma haya maelezo ya ziara hiyo mwaka2 2013 ukishindwa niambie nikutasfirie zoba hata usiwe na waswas mazumbukuku kama nyinyi sisi yupo kwa ajili ya kuwasaidiaView attachment 502075
Zoba ni baba yako mzazi kenge wewe, mimi nilikuwa na US delegation, huo upuuzi unaosoma wewe mitandaoni usidhani US intelligence inafanyakazi hivyo paka wewe.

Snipers wa US walikuja Tanzania muda mrefu kabla ya Obama.
 
Hii vita ya Utangulizi ya Kimtandao inayohusisha Silaha za Kimaandishi tu iliyoanza kati ya Matola na appoh haiwezi kuwa ni Kiashirio tosha cha Vita inayonukia duniani kati ya Marekani na Korea ya Kaskazini?
 
Hii vita ya Utangulizi ya Kimtandao inayohusisha Silaha za Kimaandishi tu iliyoanza kati ya Matola na appoh haiwezi kuwa ni Kiashirio tosha cha Vita inayonukia duniani kati ya Marekani na Korea ya Kaskazini?
Huyu boya hawezi kupambana kwa lolote na mimi ni sawa na Malawi kutishia kuivamia Kijeshi Marekani au Comoro kuipa msaada wa computer Japan, haka kaboya kanajitafutia umaarufu kunuka tu kupitia Matola.

Namuignore.
 
Huyu boya hawezi kupambana kwa lolote na mimi ni sawa na Malawi kutishia kuivamia Kijeshi Marekani au Comoro kuipa msaada wa computer Japan, haka kaboya kanajitafutia umaarufu kunuka tu kupitia Matola.

Namuignore.

Unamu ignore tu kwa maandishi hapa au unaenda sasa kugusa kweli kile Kitufe cha ignore kinachomilikiwa na JF Mkuu?
 
amenifuata pm kuomba yaishe ntaweka hadharan sms zake sipend upuuzi na wapumbafu mimi never ever on my dead body

Kumbe Matola Kwetu humu anajifanya Shujaa na Mbabe wakati ukweli ni kwamba amekuomba Msamaha kule kwenye PM? Mkuu kwakuwa hata Mimi GENTAMYCINE huwa sipendi Unafiki na Uwongo hebu tafadhali kama ni kweli hizo meseji zake unazo ' tiririka ' nazo hapa ili tabia hii ya kudanganyana humu ife rasmi.
 
Hakuna muwindaji anayeogopa pori, acha kuinajisi fani yetu haina watu maboya kama wewe.

kwanza kwenye National parks hairuhusiwi kuwinda ni utalii wa Expedetion tu pili hata uwindaji rasmi kwenye game reserve unaanza tarehe 1 July kila mwaka. au wewe unawinda ndezi kwenye vichaka vya mvuti?
Nimesema leo jioni naenda kuwinda.... sijataja mbuga ya Tanzania au Kenya we elewa leo naenda kuwinda.... Kama unataka nyama we njoo pm..... Sitakuuzia nakupa bure
 
Mods ufungeni huu uzi na mpigeni ban mleta mada maana nmesikiliza redio east afrika wanasema hii taarifa ni uzushi.
 
Back
Top Bottom