Picha zinatisha: Mlinzi wa Hifadhi ya Taifa ya Tarangire avamiwa na kujeruhiwa na simba

Huyu boya hawezi kupambana kwa lolote na mimi ni sawa na Malawi kutishia kuivamia Kijeshi Marekani au Comoro kuipa msaada wa computer Japan, haka kaboya kanajitafutia umaarufu kunuka tu kupitia Matola.

Namuignore.
Ziue mkuu, temana naye sijui kaibukia wapi, kwa uandishi wake tu nahisi ni jinsia ya tatu...
 
Je una matatizo yafuatayo katika tendo la ndoa

1. Kuwai kumaliza chini ya dk kumi

2. Uume kusinya ukiwa uken au kabla hujaingiza

3. Uume legelege mda mwingine kushindwa kuingiza uken

4.manii machache na mepesi

5.kushindwa kurudia round ya pili tatu nne au tano

6.kuchoka baada ya round ya kwanza

Kwa kutumia matunda tu ntatoa formula yaan maelezo jins ya kuandaa hayo matunda ukiwa nyumban na kupona kabisa ndani ya siku 3/5/714 inategemea na ukubwa wa tatizo ni matunda bila kemika

Gharama ni elfu 20

Njia ya malipo ni online kwa tigopes mpes kwa namba hii moja 0712505049
Au ofisin chanika mwisho karibu n kisarawe yalipo makazi yangu na ofisi

Utapona kabis kama hujazaliwa na tatizo napia lilitokana na punyeto au vyakula kama wali chips soup soda na kemikali
Wasiliana na dr kwa 0712505049


INGIA INSTAGRAM ANDIKA dr appoh kishimbo ujionee waliopona baada ya kutumia
We jamaa TAPELI.

Anzisha uzi wako
 
Hivi hawa ma surgeon wa kwetu hawafundishwi mbinu za kisasa za ushonaji ngozi?

Huyo si ataachwa na makovu ya kutisha.
mbinu wamefundishwa tatizo serikali yenu ya fisiem haijapeleka vifaa vya matibabu ya kisasa!
 
Animals will always be animals, ndo maana sipendagi ujinga hata wa kuwa na paka!
Acha uoga kiongozi
Huyo mlinzi itakuwa alimchokoza simba wa watu ila simba wapo poa tu na watu
cebf2786a3bd6a1412d7668060333ed7.jpg
 
Hahahah! we jamaa umesababisha nicheke tu japo inasikitisha. Kwenye ule uzi watu walishuka maformula kibao japo hawawezi hata kuyaapply wakitaitiwa. Wabongo huwa tupo vizuri kwenye theory ila practical tunatafutana...
Kwenye ile thread ukizisoma comments mpaka mwisho unaweza kujikuta unatama ukutane na simba muda huo huo...
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Acha uoga kiongozi
Huyo mlinzi itakuwa alimchokoza simba wa watu ila simba wapo poa tu na watu
cebf2786a3bd6a1412d7668060333ed7.jpg
Animals will always be animals, ndo maana hata The crocodile hunter wa australia na wa south muda wao ulifika!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom