Msinishangae bandugu!!!
mimi naona hawa viongozi wa serikali ya palestina hata hesabu rahisi kabisa zinawashinda. Mimi naamini ukiupigania uhuru unatakiwa uupate wewe unayeupigania ukiwa hai.
Manake haya ni maajabu ya binti chura!!! yaani waenda msituni wamchokoza kifafu, akikutoa nduki unakimbilia nyumbani kwako, unaingia kwa mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyuma unasepa, kifaru akifika anawakanyaga kanyaga wanao ma mkeo, anawatia pembe watoto wa jirani yako na wanakijiji kwa ujumla,
Wewe unaibukia kwenye magezeti oooh! kifaru mkorofi, eti Kifaru hana chembe ya utu hata kidogo!!! kifaru anawaua watoto, Kifaru anaporomosha majumba ya wanakijiji.
Angalia sasa wameshawaponza raia wao zaidi ya 60 wameshauliwa na "kifaru"
wanavitumaini na kuvihusuuuuuudu vikombora wanavyovirusha kwenye pori la "kifaru" ambavyo havimdhuru kwa vyovyote huyu "kifaru"
Ni busara kwa wapalestina kujitambua kuwa kuna wakati haki yako inaweza kukuangamiza,
KWA NINI UFE KABLA YA WAKATI WAKO?
eti kifaru kuna watu hata hawafikirii watoto wanakufa unatoa mifano ya ajabu ajabu waisrael wana laana ya shetani.

every thing on the table Israel whant the world to know they are great nation
Acha kuongea kama shoga weweMi sioni huruma kwa hawa jamaa..yaaani wao wakiua wa israel poa tu..lkn kibao kikijeuka wanakimbilia magazetini ma kwenye tv kulia.aliyewaambia warushe roketi israel ni nani..si kwamba waliyataka wenyewe....dawa ya moto ni moto
Nimeupenda uchambuzi wako jogi! Jukwaa linawahitaji watu wa aina yako na wengine pia
God forbid...!!!!
eti kifaru kuna watu hata hawafikirii watoto wanakufa unatoa mifano ya ajabu ajabu waisrael wana laana ya shetani.
Great nation au nation ya mashoga unapigana na vikundi ambavyo havina silaha na pia wamewekewa vikwazo almost miaka 20.hii damu hautopotea ila ipo siku italipwa inshaallah.