Picha zinakuwa ndogo

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Baada ya mabadiliko yaliyofanywa kwenye website hii, naona picha zingine ni ndogo (thumbnail) na nyingine ni kubwa zinaonekana vizuri. Hivi ni kwa njia gani mtu anaweza kuweka picha itokee kubwa na sio ndogo? Natamguliza shukrani.
 
Unapobonyeza icon hii:

insertimage.png


Kinajitokeza kitu kama hiki:

w9gxvl.jpg


Unasubiri kidogo kisha kinatokea kitu kama hiki:

21oafjb.jpg


Hapo kama unatoa kwenye pc basi bonyeza BASIC UPLOADER, kama unatoa kwenye link flani basi bonyeza "From URL" na 'Un-tick' maneno haya "Retrieve remote file and reference locally" na bonyeza "insert image".

Una zaidi?
 
Back
Top Bottom