Picha zilizo nihuzunisha moyoni mwangu ni hizi


ndo mtaji/lulu kwa maskini kote duniani
 
sooo sad. siku yangu imeingia simanzi. nafikiria wanangu ninavyogombana nao ili wale. Chakula kipo ila hawataki kula. These kids hawana hata cha kuonja. Mungu atujaalie kuwasaidia. i cant recheck these photos naumia sana moyoni.
 
Matajiri huwa hawana huruma,hutamani kila siku kongeza mali,hata ikibidi kutumia tone la mwisho la mjakazi/mtumwa/mlala hoi.yaani hata kama ni ndugu yake mali inathamani kuliko ndugu.siku mungu akirudi kwa ajili ya kutoa/kubadili hukumu naamini yatatokea mabadiliko makubwa ya kweli.
 
Ndugu yangu huyo Mungu aliyewanyima hawa ndo kakupa wewe. Tena usisema kabisa, maana laiti ungejua namna ambavyo Mungu alivyo na sera kama za marekani wala usingekaa chini ujivune hivyo kwa kuwa Mungu kakupa wewe mvua. Mungu hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Leo amekupa wewe mvua, lakini kesho atakunyima, hela utakuwa nayo lakini haitakuwa na uwezo wa kununua chakula kwa kuwa hakitakuwepo. Tuwaombee rehema hawa wenzetu. hawakupenda yawakute hayo. Laiti mvua ingenyesha halafu wakashindwa kulima, tungewalaumu lakini hawana mvua, wafanyaje kuikabili hiyo changamoto. Au watengeneze mvua zao?
 
hivi Al SHABAB WANAMWABUDI MUNGU yupi kwa kukataa kuruhusu usambazaji wa chakula just bcs kina toka ulaya?
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo maana ndiye anayejua kwa nini haya yanatokea kwani ndiye aliyeruhusu iwe hivyo. Lakini kibinadamu ni kuwa hawa watoto wote wanakufa wakiwa hawana hatia zao wenyewe yaani kutenda dhambi hivyo kwa namna moja ni kuwa kuna siku watakuwa na Mungu Mbinguni. Wazazi wao? hatujui kwa sababu wanaendelea kuuana na kufanya uharamia na kwa sababu ya jeuri yao pengine Mungu anaona heri awaondoe hawa watoto mapema. Hiyo ni nafasi ambayo wenye nacho tumepewa kutoa misaada ili siku ile ya hukumu uwe na kitu mkononi kuwa 'nilikuwa na njaa, ukanilisha'.
 
Tatizo ni al-shabab ambao hawataki kusikia hata senti ya mtu inatia timu somalia. Wao wanachotaka kuona ni kwamba watu wanaendelea kuwa kwenye hal hiyo milele. Ukienda mswahili kujitolea basi jiandae kabisa kuwa marehemu. Jamaa wamepiga marufuku watu kula sambusa wakati huu wa mfungo wa ramadah, eti ina umbo la pembetatu inayowakilisha. Kadiri ya mtazamo wao umbo la sambausa ni la pembetatu inayofanana na 'UTATU MTAKATIFU' hivyo sambusa zinawakilisha ukristo. Nikawaza kuwa huenda hawa jamaa ilipokuja suala la kutafuta eneo au mzingo wa pembetatu lazima walikuwa wanapata sifuri. Maana lazima walikuwa hawafanyi hesabu hizo kwa kuwa zinawakilisha ukristo kwa imani ya Utatu Mtakatifu.

Kwa kwel inatia huruma sana kwa binadamu wenzetu kuwa kwenye hali kama hii.

Nawasalimia wakuuu, na napita zangu tu!
 
I want to tell the world That

The Israelis are killing Us! and they have occupied our land by force.










I want to tell the world




********************************


I want to tell the world

A story










About a home With a broken lantern











And a burnt doll








About a picnic That wasn’t enjoyed


















About an axe That killed a tulip





















A story about a fire That consumed a plait















a story about a tear that couldn't run down




I want to tell a story About a goat That wasn’t milked








About a mother’s dough That wasn’t baked

















About a wedding That wasn’t celebrated












And a baby girl that didn’t grow up














About a football That wasn’t kicked








About a dove That didn’t fly








I want to tell a story About a key That wasn’t used














About a classroom That wasn’t attended

















About a playground That was silenced









About a book That wasn’t read

















About a besieged lonely farm

And about its fruits That weren’t picked






About a lie that wasn't discovered









A story about a Palestine church That’s no longer prayed in







And a palestine mosque That no longer stands








And a culture No longer rejoiced



























I want to tell a story About a muddy grassy roof










About a stone That faced a tank








And about a stubborn flag That refuses to lie down















About a spirit that cannot be defeated






I want to tell the world A story









Now Light a little candle for Palestine











You can do it





Light a candle One little candle

Watch the darkness fade away



Just try it out



One ray of light


Wipes away the gloomiest

Jet-black nights

As the dawn breaks




Just observe



Can you see that

All the might of darkness

In the world
Cannot extinguish
The faintest flicker

Of a beam of light




Light a candle

One little candle


Watch the darkness fade away




You can do it








Hey.. WORLD

Did you hear me?

The Israelis are killing Us! and they have occupied our land by force.
 
Reactions: Wun
Asante kwaposting yako hii dada Judith, umenikumbusha mbaali. Mara zote wanaojificha kwenye vikundi vya kidini vyenye "Msimamo mkali" ni magenge ya wahuni, wezi, vibaka wenye malengo binafsi zaidi kuliko hizo dini wanazodai wanazipigania. El Shabaab kama ilivyo Al Qaeda ni wanafiki na wahalifu wanaostahili kupigwa vita hata na waislamu wenyewe kwa vitendo vyao wanaiaibisha jamii ya kiislamu. Hebu angalia wanavyoua waislamu wenzao bila huruma kinyume kabisa na mafundisho ya uislamu. Wanalipua mabomu ovyo yenye kuwaua waislamu na wasio waislamu, watoto na kinamama wakiwemo wajawazito! Wamesababisha wakimbizi wa ndani na nje ya nchi nakusababisha maafa makubwa ya magonjwa na njaa na mateso yasiyosemekana. Ni kweli Afrika inahitaji mtu shupavu mwenye moyo wa kuthubutu kuidhibiti hali ya Somalia kama JKN (RIP). Naafikiana nawe kabisa kwamba bila ya "Intervention" yake Uganda ya leo ingekuwa kama Somalia. Pamoja na mapungufu yake namheshimu sana Museveni kwa maamuzi yake ya kijasiri yanayoendelea kuipa nchi yake heshima. Tatizo la Somalia lingekuwa limebaki katika vitabu vya Historia kama viongozi wetu wa sasa wangekuwa wakweli na majasiri wa kuchukua hatua. Hebu tujiulize, kama mchango wa nchi mbili tu za Uganda na Burundi zimeweza kuwa "Check" wahuni hawa wa Al Shabaab ingekuwaje kama nchi zipatazo kumi na tano zingejitoa kwa dhati kupambana na kuwadhibiti wahuni hawa?
Mungu ibariki Afrika.
 
WENGINE WANATAFUTA WATOTO WENGINE KAZI YAO KUTUPA WATOTO EHHHH DUNIANI KUNA MAMBO............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!








 
Yale majini Al Shabab yanasema Somalia hakuna njaa...... Hata kama Mungu angeruhusu Mvua kunyesha Somalia bado njaa ingekuwepo kwasababu muda wa kulima hakuna watu wanakimbia tuu...sababu Al Shabab .....!!!! Inasikitisha hata nashindwa kuelewa cjui ni Mungu gani wanayemwabudu al Shabab......anayeruhusu ukatili walionao!!!!!!! Hakuna njaa Somalia?!!!!!! Eti no propaganda tuu za magharibi?!!!! O Lord have Mercy on your people Somali
 
mbona kama picha za janga la njaa nchini ethiopia miaka ile ya 80?, nahisi ni picha zilizopangwa kuhalalisha uvamizi wa nchi za maghalibi na marekani kule somalia! ila kweli inasikitisha sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…