chibu kamnunulia baby wake china,utaweza binamu? usijishaue kupenda makubwa wakati uwezo huna mfyuuuuHizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
Izo mambo waachie wenyeweHizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
AhahahahwhqhhwhwhwHizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
Wapi tena?...aaaaah aaaah umenikumbusha mbali
Hizi miwani za kuogelea zinauzwa wapi, nimnunulie baby wangu? Lakini kwanza inabidi nijenge swimming pool. Sema huku uswahilini mavumbi na makaratasi ya vitumbua yote yataingia humo humo.
Kigodoro cha.zari.ndani.ya.maji....
ha ha ha mapenzi.mubashara kweli kweli
na atazaa tu huyu si ni ambassador wa lebaNadhani ni muda sasa wa Zari kuongeza mwingine maana huyo keshafikisha 60dayz,
nliona binamu zari yupo.good kila idarauliona video ya zari akicheza sengeli kwenye arobaini? yule mtoto ni shigidaa mi nahisi uzungu anatuektia maana alivyokua anayrudi utadhan anakaa mbagala
Nadhani ni muda sasa wa Zari kuongeza mwingine maana huyo keshafikisha 60dayz,
Chezea tandaleeeeeuliona video ya zari akicheza sengeli kwenye arobaini? yule mtoto ni shigidaa mi nahisi uzungu anatuektia maana alivyokua anayrudi utadhan anakaa mbagala